Latest News

Friday, March 25, 2016

JINSI YA KUINGIA KWENYE COMPUTER KAMA UMESAHAU PASSWORD.



hili somo ni muendelezo wa masomo mawili niliyoyatoa jana na leo asubuhi. Kama hukuweza kuyapata masomo hayo tafadhari tembelea blog yanguobbymjuzi.blogspot.com utayapata. Huwa inatokea mtu unasahau password ya computer yako na kushindwa kujua ufanye nini. Zipo njia nyingi zinazoweza kukuwezesha kuingia kwenye computer yako bila kuwa na password. Mimi binafsi nazifaham njia 3. Ila kutokana na muda nitafundisha 1 tu. Sasa fata hatua hizi kwa umakini na utaweza kufanya hivyo. Hii ni kwa kila aina ya windows.
1. Iwashe pc yako then itaonesha windows is starting, izime ghafla, then iwashe tena.
2. Itakupeleka kwenye sehem ya kurepair. Chagua sehem wameandika launch startup repair(recomended) then enter.
3. Itanza kurepair then baada ya dk kadhaa itakuuliza do you want to restore? Click cancel then iache,
4. Itaload kama dakika 5 au 10 hiv. Baada ya hapo itakuletea option. Nenda kweny "more problem details" then click kweny kamshale kapo kushoto kwa hayo maneno then chagua option ya mwisho kabsa.
5. Itafunguka text pad chagua file then chagua open,
6. Chagua my computer then chagua local disk ambayo itakuwa new created( normally inakuwaga na herufi tofaut na zile zilizokuwepo mwanzo.)
Mfano unakuta Local disk F. Wakat mara ya kwanza haikuwapo.
7. Chagua windows then angalia chini wameandika file type weka all files then fungua system32 then tafta "sethc"
8. Irename na isomeke sethc1 then tafuta cmd
9. icopy na uipaste humohumo itajiandika cmd copy, irename na isomeke sethc.
10. Funga kila kitu halafu restat computer yako.
Ikiwaka itakuomba password.,
11. Bonyeza shift button mara 5 au 6 haraka haraka, itatokea cmd.
12. Andika yafuatayo
net user then enter
13. net user "jina la hiyo account" *
Mfano net user admininistrator * then enter
14.Itakuomba uweke password click enter
15. Itakuomba uconfirm password click enter.
16.Baada ya hapo andika exit then restat computer yako.
17. Ukirestat computer yako haitakuomba password kabsa.
Baada ya zoezi hilo unaweza kuamua kuirudsha password yako au kutoirudsha.
Kama nilivyosema zipo njia nyingi ila mi nimeamua kufundisha hii moja ila pia unauwezo wa kutumia somo la jana na somo la kubadil password kwa njia ya kawaida kufanya hiki kitu.
______MWISHO_____
Kwa ujanja mwingine wa computer tembelea blog yangu hiyo hapo chini (ingia sehem wameandka darasa huru)
Asante
ANGALIZO
hii ni kwa lengo la kujifunza tu. Ni marufuku kuitumia vibaya.
SITAHUSIKA kwa baya lolote litakalojitokeza.
IMEANDALIWA NA
Obby mjuzi©2016
# obbymjuzi@gmail.com
obbymjuzi.blogspot.com
👆🏻
NITAFURAHI KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO

Recent Post