Latest News

Sunday, October 18, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA D CRIMINAL Ft G RICKO

goma linaitwa BILA WEWE.  ni bonge la goma.
limefanyikia MAASAI MUSIC chini ya producer SIMBA MKALI.
NGOMEKA NALO hapa
https://mkito.com/artist-profile/d-criminal/6274

NGOMEKA NA GOMA LA OBBY Linaitwa HATUACHANI


Hili ni goma la mapenzi lenye puch za hatari fanya kugongeka nalo hapa
http://mdundo.com/song/32981

NGOMEKA NA GOMA LA LADY KWILEGA

hili ni bonge la goma kutoka kwa mwanadada lady kwilega. goma limefanyika Maasai music chini ya producer SIMBA MKALI.
NGOMEKA NALO HAPA
https://mkito.com/artist-profile/lady-kwilega/8089

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA IYEZ OTZED FT WAMAY KING

ngoma inaitwa NILIAMINI, Hii ni track kali sana kutoka kwa IYEZ OTZED akiwa na WAMAY KING. ngoma imefanyikia MAHIRI MUSIC chini ya maproducer wawili PATRINO na D TOUCHES kutoka sumbawanga Tanzania. ipakue hapa.

http://mdundo.com/song/38401

NGOMEKA na Goma la OBBY

 hili ni goma lililompa obby mc jina kubwa sana kwa mashabiki wake kutokana na ubunifu mkuubwa kwenye uandishi.  NGOMEKA NALO HAPA
http://mdundo.com/song/24461

Recent Post