Latest News

Saturday, October 24, 2015

WIMBO MPYA WA ROMA MKATOLIKI BAADA YA VIVA ROMA VIVA




Msanii wa mziki wa kizazi kipya anaejulikana kwa nyimbo za harakati kama TANZANIA, MR PRESIDENT, MATHEMATICS, 2030 na VIVA ROMA VIVA ambayo imefungiwa siku sio nyingi na basata. Roma mkatoriki aliahid kuachia track mpya siku ya tarehe 25 mwezi huu ( yani siku ya uchaguzi) amesema kila kitu kimekamilika na leo ameenda BASATA kuwaonesha na kusubiria kupata ruhusa kutoka kwao. kama mambo yataenda kama yalivyopangwa amesema kesho asubuhi wimbo huo utaachiwa "kesho ndiyo ile Tarehe niliyoahidi kuw ntaachia KIBAO changu kipya, na sasa naelekea BASATA kuwasikilizisha kabisaaa, wakitoa GO AHEAD  tu basi kesho alfajiri KINANUKA, WAKIZINGA NA MIMI NAWAZINGUAA!!" 

USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII KESHO MAPEMA TUNAIWEKA HAPA

Recent Post