Latest News

Tuesday, December 15, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA GODZILLA-I GET HIGH



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA STAMINA,STERIO,STOSH ft MR BLUE-KAA MBALI



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA MWANA FA-ASANTENI KWA KUJA




NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA D CRIMINAL ft JIMMY-NISIKILIZE

Hii ni track mya ya msanii D criminal akiwa na jamaa anaitwa Jimmy. track imefanyikia maaasai music chini ya producer simba mkali (mwanza). kiukweli simba kafanya bonge la beat na bonge la production. D Criminal kafanya bonge la flow pia uandishi ni mkali sana. Jimmy kafanya bonge moja la chorous,  ngoma imebeba ujumbe mkubwa mkubwa sana. NGOMEKA NAYO HAPAAA


Recent Post