Latest News

Friday, October 23, 2015

DOWNLOAD/SIKILIZA INTERVIEW YA KWANZA KATIKA SEGMENT YA MSANII UJUZINI

kama nilivyosema na kuatngaza mara nyingi kwamba kwenye blog yetu kuna kitu kunaitwa msanii ujuzini ambacho tumekianzisha mahususi kuwasaport wasanii wa mziki (aina zote za mziki.)
leo tumeanza rasmi na msanii anaitwa D CRIMINAL MSIKILIZE HAPA.
kama wewe ni msanii na unahitaji kuhusika kwenye hiki kipindi tafadhari wasiliana nami kwa email au kwa namba hizo hapo juu.
http://mdundo.com/song/38857

JINSI YA KUSREENSHOT KWENYE SIMU YA TECNO P5 (na TECNO NYINGINE)


Mpenzi msomaji wa makala hii asante kwa kutumia muda wako kutembelea blog yangu. hii inanipa nguvu ya kuendelea kufanya vitu ambavyo vitakuwa vizuri kila kukicha, hakika hutajuta kutembelea blog hii.
Nikukaribishe kwenye DARASA HURU kwa siku ya leo. karibu darasani na leo ningependa kukupa somo dogo la jinsi ya KU SCREENSHOT kwenye simu za tecno especially TECNO P5.
watu wengi wamekuwa wakitamani kufanya screenshot kwenye simu zao za tecno lakini wamekuwa wakishindwa kwa kutokufaham jinsi ya kufanya hivi, imefikia kipindi watu wamekuwa wakisema kwamba simu hizi hazina uwezo wa kusreenshot. sasa leo nitakupa steps chache ambazo ukizifata vizuri utafanikiwa bila shida yoyote. ni rahisi sana. haya twende pamoja.

STEPS
1. nenda kwenye sehemu unayotaka kuscreen shot. 
hapa naongelea nenda kwenye page unayotaka kuisreenshot, mfano unataka kucreenshot maelezo status ya mtu facebook au watsap.
2. bonyeza lower volume button na lock scren buton kwa pamoja 
hapa namaanisha bonyeza ile batani unayotumia kupunguzia sauti na ile unayotumia kulokia screen yako (zibonyeze kwa pamoja kwa muda kidogo) hapo utasikia mlio kama wa camera na picha itakuwa imejipiga.





3. nenda kwenye gallery utaikuta picha yako huko.

KWA MASWALI MAONI AU USHAURI TAFADHARI TOA COMMEYT YAKO au nitumie kwa
email: obbymjuzi@gmail.com

MWISHO

Recent Post