THE WIND MUSIC ni kundi la music kutoka hapa hapa Tanzania, ni kundi linaloundwa na wasanii watano, wawil wa kike watatu wakiume, nao niFisher,Marrash,Travez,Amina na V Wonder, wanafanya mziki mzuri saana hawa jamaa. hii ni moja ya ngoma ya o inaitwa SEE YOU. NGOMEKA NAYO HAPA