Latest News

Saturday, August 6, 2016

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA BLACK FIRE ft GEOF MASTER---HISIA ZANGU

huu ndo mzigo mpya wa jamaa anaitwa BLACKFIRE kutoka kundi linaitwa NGUZO TANO. ngoma imepikilishwa na jamaa anaitwa GEOF MASTER ambae pia kahusika humo ndani...
goma limefanyika pale TONGWE RECORDS.. fanya kungomeka nalo hapa afu siache kushare na wanakwetu kibaaaaaaaaaaaaaao 

Recent Post