Latest News

Saturday, October 24, 2015

WIMBO MPYA WA ROMA MKATOLIKI BAADA YA VIVA ROMA VIVA




Msanii wa mziki wa kizazi kipya anaejulikana kwa nyimbo za harakati kama TANZANIA, MR PRESIDENT, MATHEMATICS, 2030 na VIVA ROMA VIVA ambayo imefungiwa siku sio nyingi na basata. Roma mkatoriki aliahid kuachia track mpya siku ya tarehe 25 mwezi huu ( yani siku ya uchaguzi) amesema kila kitu kimekamilika na leo ameenda BASATA kuwaonesha na kusubiria kupata ruhusa kutoka kwao. kama mambo yataenda kama yalivyopangwa amesema kesho asubuhi wimbo huo utaachiwa "kesho ndiyo ile Tarehe niliyoahidi kuw ntaachia KIBAO changu kipya, na sasa naelekea BASATA kuwasikilizisha kabisaaa, wakitoa GO AHEAD  tu basi kesho alfajiri KINANUKA, WAKIZINGA NA MIMI NAWAZINGUAA!!" 

USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII KESHO MAPEMA TUNAIWEKA HAPA

JINSI YA KUTUMIA WHATSAP ACCOUNT MBILI KWENYE SIMU MOJA

asante kwa kutembelea blog yetu. Karibu katika darasa huru. Naamini somo la jana lilikuwa na msaada sana kwa watu.
Kumbuka kama unamaswali au ushauri usisite kuwasiliana nami kwa email: obbymjuzi@gmail.com nami nitajibu bila shida.
Leo kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nataka tujifunze jinsi ya kutumia whatsapp account mbili katika simu moja.
Pengine unaweza ukastaajabu hili swala linawezekanaje.
Ila ni ukweli usiopingika kwamba teknolojia imewezesha hili.
Kwa kufata steps zifatazo utaweza kufanikisha kuwa na account mbili za whatsap.

                             STEPS
1. Nenda playstore na download app inaitwa DISA then install.
ipo kama hii hapa chini


2. Ifungue then nenda kwenye add services click hapo then angalia sehem wameandika whatsap iclick ita download na kuinstall.
3.ikimaliza bonyeza sehem wameandika Restart
4. Ili kuanza kutumia whatsap bonyeza kwenye kialama cha pembetatu ambacho kinaalama ya mshangao ndani (exclamatory mark). kipo kulia juu
5. Hapo itakuletea sehem ya kujaza jina na whatsap namba. Andika jina unalotaka kutumia whatsap then weka namba yako mpya.Tofaut na ile unayotumia kwenye whatsap ya kwawaida.
6. hapo itaconfirm yenyewe na utakuwa na uwezo wa kutumia whatsap mbili. yani moja kwenye DISA nyingine ni ile ya kawaida.

NOTE
kama itafeli kuconfirm itakuletea sehem ya kuconfirm manually. utachagua sehem imeandikwa VIA PHONE. utatumiwa code ambazo utaziweka hapo kama unavyofanyaga kwenye whatsapp ya kawaida.

MWISHO
KWA MAONI USHAURI AU COMMENT TAFADHARI WASILIANA NAMI KWA NAMBA AU EMAIL HYO HAPO JUU.





Recent Post