Latest News

Friday, March 25, 2016

HII NDO INTERVIEW YA MWANADADA YASINTA (FE MC) PALE METRO FM

FE MCZ ni wachache sana kwa Tanzania,  walikuwepo wakina sister P, rah P, zey B, witness, chiku keto ila kwa sasa wamepiotea.. Hii si kawaida sana kwa marapper wa jinsia ya kike kuwa na uwezo mkubwa wa kurap kama uwezo alionao mwanadada Yasinta.
Akifanya mahojiano na radio Metro fm ya kanda ya ziwa, Yasinta aliuonesha umma kuwa hiphop si muziki ulioteuliwa kufanywa na jinsia fulani pekee.
Msikilize hapa chini alivyoua midundo.


Recent Post