Latest News

Friday, March 25, 2016

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA BEN POL ft GNAKO & VJ ADAMS-NITAFANYAJE



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA LADY JAY DEE-NDINDINDI



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA VANESA MDEE-NIROGE



HII NDO INTERVIEW YA MWANADADA YASINTA (FE MC) PALE METRO FM

FE MCZ ni wachache sana kwa Tanzania,  walikuwepo wakina sister P, rah P, zey B, witness, chiku keto ila kwa sasa wamepiotea.. Hii si kawaida sana kwa marapper wa jinsia ya kike kuwa na uwezo mkubwa wa kurap kama uwezo alionao mwanadada Yasinta.
Akifanya mahojiano na radio Metro fm ya kanda ya ziwa, Yasinta aliuonesha umma kuwa hiphop si muziki ulioteuliwa kufanywa na jinsia fulani pekee.
Msikilize hapa chini alivyoua midundo.


JINSI YA KUINGIA KWENYE COMPUTER KAMA UMESAHAU PASSWORD.



hili somo ni muendelezo wa masomo mawili niliyoyatoa jana na leo asubuhi. Kama hukuweza kuyapata masomo hayo tafadhari tembelea blog yanguobbymjuzi.blogspot.com utayapata. Huwa inatokea mtu unasahau password ya computer yako na kushindwa kujua ufanye nini. Zipo njia nyingi zinazoweza kukuwezesha kuingia kwenye computer yako bila kuwa na password. Mimi binafsi nazifaham njia 3. Ila kutokana na muda nitafundisha 1 tu. Sasa fata hatua hizi kwa umakini na utaweza kufanya hivyo. Hii ni kwa kila aina ya windows.
1. Iwashe pc yako then itaonesha windows is starting, izime ghafla, then iwashe tena.
2. Itakupeleka kwenye sehem ya kurepair. Chagua sehem wameandika launch startup repair(recomended) then enter.
3. Itanza kurepair then baada ya dk kadhaa itakuuliza do you want to restore? Click cancel then iache,
4. Itaload kama dakika 5 au 10 hiv. Baada ya hapo itakuletea option. Nenda kweny "more problem details" then click kweny kamshale kapo kushoto kwa hayo maneno then chagua option ya mwisho kabsa.
5. Itafunguka text pad chagua file then chagua open,
6. Chagua my computer then chagua local disk ambayo itakuwa new created( normally inakuwaga na herufi tofaut na zile zilizokuwepo mwanzo.)
Mfano unakuta Local disk F. Wakat mara ya kwanza haikuwapo.
7. Chagua windows then angalia chini wameandika file type weka all files then fungua system32 then tafta "sethc"
8. Irename na isomeke sethc1 then tafuta cmd
9. icopy na uipaste humohumo itajiandika cmd copy, irename na isomeke sethc.
10. Funga kila kitu halafu restat computer yako.
Ikiwaka itakuomba password.,
11. Bonyeza shift button mara 5 au 6 haraka haraka, itatokea cmd.
12. Andika yafuatayo
net user then enter
13. net user "jina la hiyo account" *
Mfano net user admininistrator * then enter
14.Itakuomba uweke password click enter
15. Itakuomba uconfirm password click enter.
16.Baada ya hapo andika exit then restat computer yako.
17. Ukirestat computer yako haitakuomba password kabsa.
Baada ya zoezi hilo unaweza kuamua kuirudsha password yako au kutoirudsha.
Kama nilivyosema zipo njia nyingi ila mi nimeamua kufundisha hii moja ila pia unauwezo wa kutumia somo la jana na somo la kubadil password kwa njia ya kawaida kufanya hiki kitu.
______MWISHO_____
Kwa ujanja mwingine wa computer tembelea blog yangu hiyo hapo chini (ingia sehem wameandka darasa huru)
Asante
ANGALIZO
hii ni kwa lengo la kujifunza tu. Ni marufuku kuitumia vibaya.
SITAHUSIKA kwa baya lolote litakalojitokeza.
IMEANDALIWA NA
Obby mjuzi©2016
# obbymjuzi@gmail.com
obbymjuzi.blogspot.com
👆🏻
NITAFURAHI KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO

JINSI YA KUBADILI PASSWORD YA LAPTOP AU DESKTOP YAKO BILA KUJUA ILE ILE YA ZAMANI(ambayo ipo)



KARIBU KATIKA DARASA HURU. Asante kwa kutembelea blog yetu. niombe radhi kwa kutokuwa na masomo kwa miezi kadhaa. hii ni kutokana na mihangaiko ya hapa na pale.. leo tunarudi tena Darasani na tunajifunza jinsi ya JINSI YA KUBADILI PASSWORD YA LAPTOP AU DESKTOP YAKO BILA KUJUA ILE ILE YA ZAMANI(ambayo ipo)

.ukiwa na swali lolote au maoni tafadhari nitumie kwa email yangu obbymjuzi@gmail.com..
karibu twende sote.
Maranyingi huwa tunajikuta tunapata matatzo ya kutokukumbuka password zetu. Hii inakupa kazi sana kutumia pc na unakuwa na mawazo kwamba hii pc ikizima utafanya nini na wakat password hukumbuk?
Leo nakuletea somo litakalokusaidia kuchange password bila hata kujua iliyokuwepo.
Kuna njia mbili za kubadili password kwenye computer.
1. Njia ya kawaida
2. Kwa kutumia cmd
 NITAELEKEZA NJIA YA KWANZA. then  nitaelekeza ya pili.
NJIA YA KAWAIDA.
kwa njia ya kawaida fata hatua hizi rahisi
1. Right click kweny my computer na uchague sehem wameandika "manage"
Itakupeleka kwenye computer management.
Unaweza kuipata hyo kwa kubonyeza windows button+ R then ukaandika "compmgmt.msc" then ENTER
2. Tafuta sehem wameandika "local users and groups"
Then chagua users.
3.Hapo utaona users wa pc yako. Kama ni mmoja itakuwa imeandkwa administrator. Right click hyo administrator then chagua "set password" 
4.Hapo itakwambia uandike hiyo password na uconfirm (yaani pasword unayoitaka), kazi itakuwa imeisha na utaweza ku log in kwa kutumia password mpya.
NJIA YA PILI (KWA KUTUMIA CMD)
Cmd ni kifup cha neno command prompt.
Hii hupatikana kwenye kila computer na hufanya kazi nyingi sana kuliko tunavyoweza kudhani.hii inauwezo hata wa kufufua flash au memory card zilizokufa.
Leo nitajikita zaid kweny kutumia CMD kuchange pasword ya computer yako.
Unaweza kufanya hivyo kwa kufata hatua hizi rahisi.
1. click Windows button+ R. Then andika cmd then enter.
2. Kitafunguka kipage cheusi chenye maandishi meupe.
Hicho ndicho huitwa Cmd. Yaan command prompt.
3. Andika net user then ENTER itakuonesha account zote zilizopo kweny pc yako. Mara nyingi utakuta watu wanaweka guest account na administrator account.
4. Andika met user "jina la account" then * mfano net user administrator * then ENTER. Itakuomba uweke password, andika yoyote unayoitaka (but haitaonekana so we andika tu) then ENTER.
Itakuomba uconfirm password confirm hyo password then ENTER.
5. Utakuwa umemaliza kubadil password yako bila shida.
MUDA UKIRUHUSU TUTAJIFUNZA JINSI YA KUINGIA KWENYE LAPTOP au DESKTOP YA MTU BILA KUJUA PASWORD YAKE. HII ITAKUWA MWENDELEZO WA SOMO HILI.
Kwa ujanja mwingine wa computer tembelea blog yangu hiyo hapo chini (ingia sehem wameandka darasa huru)
Asante

ANGALIZO
hii ni kwaajili ya elimu tu. Ni marufuku kuitumia vbaya.
Sitahusika kwa baya lolote litakalojitokeza.
IMEANDALIWA NA 
# obby mjuzi ©2016
# obbymjuzi@gmail.com
obbymjuzi.blogspot.com
👆🏻
NITAFURAHI KAMA UTASHARE JINSI ILIVYO




Sunday, March 20, 2016

Thursday, March 17, 2016

NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA DOGO JANJA-MY LIFE



Monday, March 14, 2016

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA HARMONIZE ft DIAMOND PLATNUMZ-BADO



GOMEKA NA GOMA JIPYA LA ROMA MKATORIKI ft WALTER CHILAMBO-MTOTO WA KIGOGO



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA DOGO JANJA-MY LIFE



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA BONTA ft NIKKI WA PILI & BELLE 9-USIRUDI JELA



Friday, March 11, 2016

Recent Post