Latest News

Saturday, October 31, 2015

TAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2015 HAPA

haya ndio matokeo ya Darasa la saba kwa mwaka huu wa 2015. yadownload hapa



JINSI YA YA KUJUA NANI AMETEMBELEA PROFILE YAKO YA FACEBOOK.


Habari wanakwetu. karibyu katika darasa huru na kama kawaida leo tunapeana kitu kingine kipya ambacho pengine ulikuwa unakihitaji siku nyingi.
Leo nataka tupeane trick ya kujua ni nani ametembelea profile yako. 
yan kama unataka jua ni nan kaingia kuangalia pcha zako status zako na taarifa zako kwa ujumla.
hii ni rahisi sana just twende pamija kwa kufata steps zifatazo.
STEPS...

1. ingia kwenye page yako ya facebook (yani profile yako)  then right click

2. chagua sehem wameandika VIEW PAGE SOURCE

3. page nyingne itafunguka, click CTRL+F sehem ya kusearch itatokea. andika INITIAL CHAT FRIENDS LIST (bila kuweka space)

4. utaona hilo neno limejiwekea kivuli mbele yake kuna namba nying tu.

5.kila namba iliyopo hapo inawakilisha jina la rafiki yako. jinsi zilivyojipanga ndo mpangilio wa muda. yan hiyo namba ya kwanza ndo mtu ambae kaingia muda c mrefu. pia kwenye hizo namba utaona baada ya namba kuna alama ya kama kimstar then inaandikwa namba  nyingine  mfano 123455678899 -2, usiikopi hyo namba ya mwisho ambayo ina hako ka mstari.

6. kujua jina la huyo mtu copy hyo namba then nenda kwenye URL ya facebook (nnapoongelea URL namaanisha pale walipoandika http://www.facebook.com)  inapoishia weka slash ( / ) then paste hapo kisha enter. mfano https://www.facebook.com/0125997465

7.profile ya huyo mtu itafunguka hapo na utaweza kujua ni nani. 


KWA MAONI USHAURI AU MASWALI NITUMIE KWA EMAIL obbymjuzi@gmail.com.


MWISHO


Friday, October 30, 2015

TAZAMA/DOWNLOAD VIDEO YA KANSIME


NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA STOSH ft MR BLUE-MLETE



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA LUNDUNO-JIFUNZE KABLA



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA NIKKI MBISHI ft SONGA-SAA HII



DOWNLOAD/SIKILIZA INTERVIEW YA 3 KWENYE KIPINDI CHA MSANII UJUZINI

Hii ni interview nyingine tumefanya na jamaa kutoka sumbawanga anaitwa POP D. fanya kumsikiliza hapa. kama wewe ni msanii na unahitaji kuhusika kweny hiki kipindi au unabiashara yako unataka kutangaza nasi tafadhari wasiliana nami kwa email au namba hizo hapo juu.
pia kwa maoni ushauri


Thursday, October 29, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA DARASA ft TRIPPLE D-HELA


ANGALIA/DOWNLOAD VIDEO YA HAWA WATOTO WAKICHEZA WIMBO WA EDDY KENZO


DOWNLOAD/WACHEKI HAWA JAMAA WALIOCHEZA MARIA ROSA WAKICHEZA WIMBO MWINGINE WA EDDY KENZO


NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA YOUNG DEE-UJANJA UJANJA


NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA YOUNG DEE-UJANJA UJANJA



Tuesday, October 27, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA MAKOMANDO-TANZANIA



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA TUNDAMAN & MATONYA-UGOMVI



JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE.

Wengi sana wamekuwa wakivutiwa na video wanazo ziangalia YouTube  na kutaka ku download ila wakashindwa kufanya hivyo. hii ni kutokana na kukosa njia ya kudownload, pia kwangu sioni sababu ya kutumua software kudownload video kwasababu software zinamadhar yake ambayo ntakuja kuyaelezea siku moja.
 zifuatazo ni steps zitakazo kiwezesha ku download  video yeyote kwenye YouTube :

STEPS.
1. ingia YouTube.com 
2. Chagua vdeo unayoitaka then iclick., wakat inajiandaa kuplay angalia juu utaona URL (yan http//www.youtube.comxasgjhmmrssn// huu ni mfano tu)
3. Nenda kweny hyo URL then edit kwa kuongeza ss au 9x mfano http//www.youtube.comxyzk isomeke
Http//www.9xyoutube.comxyzk
Au
Http//www.ssyoutube.comxyzk
then kama ni computer click ENTER kama cm reload.
4. Itafunguka page mpya amnayo utaona imekuletea format mbalimbali za hyo vdeo yan
Mp4, MPG, MP3 Na nyingne nying.
5. Chagua MP4 kwa kuclick kama unataka video then utaona inaanza kudownload.
NB
kama utatumia 9x hzo fomat zitakuwa chini.
Kama utatumia ss hzo vdeo fomats zitakuwa kulia.
Kama unatumia simu tumia google chrome au browers yoyote ile uctumie app ya youtube.

KWA MAONI MASWALI AU USHAURI TAFADHARI COMMENT HAPA au wasiliana nami kwa  email:obbymjuzi@gmail.com


MWISHO










DOWNLOAD/SIKILIZA INTERVIEW KATIKA SEGMENT YA MSANII UJUZINI

hii in iterview ya pili katika segment ya MSANII UJUZINI inayopatikana kwenye blog yetu.
tumefanya interview na jamaa kutoka sumbawanga. jamaa anafanya mziki mzuri saaana. tumeongelea mziki wake kwa undan pia amepata nafasi ya kuielezea TRACK yake mpya.
KAMA NAWEWE UNATAKA KUHUSIKA WASILIANA.




Monday, October 26, 2015

Sunday, October 25, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA CHRISTIAN BELLA- UMEFULIA

https://mkito.com/song/umefulia/1352

Saturday, October 24, 2015

WIMBO MPYA WA ROMA MKATOLIKI BAADA YA VIVA ROMA VIVA




Msanii wa mziki wa kizazi kipya anaejulikana kwa nyimbo za harakati kama TANZANIA, MR PRESIDENT, MATHEMATICS, 2030 na VIVA ROMA VIVA ambayo imefungiwa siku sio nyingi na basata. Roma mkatoriki aliahid kuachia track mpya siku ya tarehe 25 mwezi huu ( yani siku ya uchaguzi) amesema kila kitu kimekamilika na leo ameenda BASATA kuwaonesha na kusubiria kupata ruhusa kutoka kwao. kama mambo yataenda kama yalivyopangwa amesema kesho asubuhi wimbo huo utaachiwa "kesho ndiyo ile Tarehe niliyoahidi kuw ntaachia KIBAO changu kipya, na sasa naelekea BASATA kuwasikilizisha kabisaaa, wakitoa GO AHEAD  tu basi kesho alfajiri KINANUKA, WAKIZINGA NA MIMI NAWAZINGUAA!!" 

USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII KESHO MAPEMA TUNAIWEKA HAPA

JINSI YA KUTUMIA WHATSAP ACCOUNT MBILI KWENYE SIMU MOJA

asante kwa kutembelea blog yetu. Karibu katika darasa huru. Naamini somo la jana lilikuwa na msaada sana kwa watu.
Kumbuka kama unamaswali au ushauri usisite kuwasiliana nami kwa email: obbymjuzi@gmail.com nami nitajibu bila shida.
Leo kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nataka tujifunze jinsi ya kutumia whatsapp account mbili katika simu moja.
Pengine unaweza ukastaajabu hili swala linawezekanaje.
Ila ni ukweli usiopingika kwamba teknolojia imewezesha hili.
Kwa kufata steps zifatazo utaweza kufanikisha kuwa na account mbili za whatsap.

                             STEPS
1. Nenda playstore na download app inaitwa DISA then install.
ipo kama hii hapa chini


2. Ifungue then nenda kwenye add services click hapo then angalia sehem wameandika whatsap iclick ita download na kuinstall.
3.ikimaliza bonyeza sehem wameandika Restart
4. Ili kuanza kutumia whatsap bonyeza kwenye kialama cha pembetatu ambacho kinaalama ya mshangao ndani (exclamatory mark). kipo kulia juu
5. Hapo itakuletea sehem ya kujaza jina na whatsap namba. Andika jina unalotaka kutumia whatsap then weka namba yako mpya.Tofaut na ile unayotumia kwenye whatsap ya kwawaida.
6. hapo itaconfirm yenyewe na utakuwa na uwezo wa kutumia whatsap mbili. yani moja kwenye DISA nyingine ni ile ya kawaida.

NOTE
kama itafeli kuconfirm itakuletea sehem ya kuconfirm manually. utachagua sehem imeandikwa VIA PHONE. utatumiwa code ambazo utaziweka hapo kama unavyofanyaga kwenye whatsapp ya kawaida.

MWISHO
KWA MAONI USHAURI AU COMMENT TAFADHARI WASILIANA NAMI KWA NAMBA AU EMAIL HYO HAPO JUU.





Friday, October 23, 2015

DOWNLOAD/SIKILIZA INTERVIEW YA KWANZA KATIKA SEGMENT YA MSANII UJUZINI

kama nilivyosema na kuatngaza mara nyingi kwamba kwenye blog yetu kuna kitu kunaitwa msanii ujuzini ambacho tumekianzisha mahususi kuwasaport wasanii wa mziki (aina zote za mziki.)
leo tumeanza rasmi na msanii anaitwa D CRIMINAL MSIKILIZE HAPA.
kama wewe ni msanii na unahitaji kuhusika kwenye hiki kipindi tafadhari wasiliana nami kwa email au kwa namba hizo hapo juu.
http://mdundo.com/song/38857

JINSI YA KUSREENSHOT KWENYE SIMU YA TECNO P5 (na TECNO NYINGINE)


Mpenzi msomaji wa makala hii asante kwa kutumia muda wako kutembelea blog yangu. hii inanipa nguvu ya kuendelea kufanya vitu ambavyo vitakuwa vizuri kila kukicha, hakika hutajuta kutembelea blog hii.
Nikukaribishe kwenye DARASA HURU kwa siku ya leo. karibu darasani na leo ningependa kukupa somo dogo la jinsi ya KU SCREENSHOT kwenye simu za tecno especially TECNO P5.
watu wengi wamekuwa wakitamani kufanya screenshot kwenye simu zao za tecno lakini wamekuwa wakishindwa kwa kutokufaham jinsi ya kufanya hivi, imefikia kipindi watu wamekuwa wakisema kwamba simu hizi hazina uwezo wa kusreenshot. sasa leo nitakupa steps chache ambazo ukizifata vizuri utafanikiwa bila shida yoyote. ni rahisi sana. haya twende pamoja.

STEPS
1. nenda kwenye sehemu unayotaka kuscreen shot. 
hapa naongelea nenda kwenye page unayotaka kuisreenshot, mfano unataka kucreenshot maelezo status ya mtu facebook au watsap.
2. bonyeza lower volume button na lock scren buton kwa pamoja 
hapa namaanisha bonyeza ile batani unayotumia kupunguzia sauti na ile unayotumia kulokia screen yako (zibonyeze kwa pamoja kwa muda kidogo) hapo utasikia mlio kama wa camera na picha itakuwa imejipiga.





3. nenda kwenye gallery utaikuta picha yako huko.

KWA MASWALI MAONI AU USHAURI TAFADHARI TOA COMMEYT YAKO au nitumie kwa
email: obbymjuzi@gmail.com

MWISHO

Thursday, October 22, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA NIKI MBISHI ft CRIFF MITINDO &PINDA BWAY-NAJUA UNACHONIPENDEA

https://mkito.com/song/najua-unachonipendea-ft-pindabway-cliff-mitindo/16882


NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA RICH ONE FT JUMA NATURE,AMP, ISPECTOR HARUN – FULANI

https://mkito.com/song/fulani/16887/bwi-4-33170

PAKUA WIMBO WA MCHUNGAJI ABIUDI-UJE UNITOE

http://cdn13.hulkshare.com/dev13/0/009/581/0009581813.fid/Uje%2Bunitoe-Abiudi%2BMishori.mp3?key=5bf8a16ce14867b66541f00773d82c73&dl=1

PAKUA WIMBO WA MCHUNGAJI ABIUDI-NI WEWE BWANA

http://cdn09.hulkshare.com/dev9/0/009/581/0009581760.fid/Ni%2Bwewe%2Bbwana-Abiudi%2BMishori.mp3?key=d1dd24fbc48d24c90d25968d70635205&dl=1

PAKUA WIMBO WA MCHUNGAJI ABIUDI MISHORI-ROHO NIJAWE TENA

http://cdn13.hulkshare.com/dev13/0/009/581/0009581719.fid/Roho%2Bnijawe%2Btena-Abiudi%2BMishori.mp3?key=126d8b36dc73b31ce408e84ed1fe496f&dl=1


Wednesday, October 21, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA STAMINA, YOUNG KILLER &COUTRY BOY (MTU CHEE)-MTU TATU

https://mkito.com/song/mtuchee-mtu3-ft-juxdeddy/16898/bwi-1-33143

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA MWANADADA STOSH

bidada anafanya hip hop ya ukweli, ni kipaji kutoka tamaduni music chini ya mwalim STEREO

https://mkito.com/song/supa-madini-stosh-ft-mandvd/14540


Recent Post