Latest News

Friday, January 15, 2016

TAZAMA HAPA MATOKEO KIDATO CHA PILI 2015

Haya ndiyo matokeo ya kidacho cha pili kwa mwaka 2015, pamoja na maelezo mengine kwa wahusika wa kidato cha pili 2015.
Maelezo Mengine

http://necta.go.tz/matokeo/ftna2015/html/index.htm

Wednesday, January 13, 2016

NGOMEA NA GOMA JIPYA LA SWAXC BAND-WADANANDA



NGOMEKA NA GOMAJIPYA LA PREZO-MREMBO



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA SWAXC BAND-RAFIKI ADUI



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA SWAXC BAND-SIKUACHI



NGOMEKA NA GOMA LA SWAXC BAND-NARUDI KIJIJINI



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA SWAXC BAND-MOYO WANGU



Tuesday, January 12, 2016

NGOMEKA NA GOMA LA JUMA NATURE-UMOJA WA TANZANIA



NGOMEKA NA GOMA LA KITALE-KITU KIDOGO



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA KIMBUNGA MCHAWI-MZIKI NAUDAI



NGOMEKA NA GOMA LA SISTER P-ANAKUJA



Sunday, January 10, 2016

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA SWAXC BAND-JIPE MOYO



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA SWAXC BAND-BABA



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA SWAXC BAND-AJIRA



Thursday, January 7, 2016

Wednesday, January 6, 2016

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA SONGA- PCHA

Hii ni track mpya ya songa a.k.a samaki mwenye kiu ndani ya maji. fanya kungomeka nayo hapa.


Tuesday, January 5, 2016

NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA SAUT SOL-RELAX



NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA MWANA FA-ASANTENI KWA KUJA

Hii ni video mpya kutoka kwa mwana a.k.a Binamu. ni bonge moja la kideo fanya kungomeka nayo hapa 


Sunday, January 3, 2016

JINSI YA KUTUMA FILES, DOCUMENTS, PROGRAMS KWA WHATSAPP

Hello karibu katika darasa huru, asante kwa kutembelea blog yetu. Asante kwa mnaoendelea kutuma maswali yenu, kiukweli tunapokea maswali mengi sana kwahiyo ukiona swali lako halijajibiwa usidhani tumelidharau au tumelisahau, tunaendelea kuyafanyia kazi na mtapata majibu hapahapa darasani. Pia kama una swali maoni au ushauri nitumie kwa email yangu:obbymjuzi@gmail.com.
Leo katika DARASA HURU tutajifunza jinsi ya kutuma mafile au mafolder ambayo sio audio au video kwa kutumia whatsaap. Hii itakuwa msaada kwa wale miokuwa mnatamani kutumiana softwares au notes au documents mbalimbali kwa njia ya whatsaap. KARIBU
Whatsapp ni app ambayo imekuwa ikitumika na watu wengi kweny kutuma na kupokea audio na video, ni app inayopendwa na watu wengi sana kutokana na urahisi wake wa kutumia. Pamoja na kukuwezesha kushare files za multimedia(music, photos, video) lakini kuna kasoro iliyopo katika app hii. Nayo ni kwamba Haina uwezo wa kutuma files zilizopo katika mfumo wa software kama .exe, .apk, .bar n.k na pia files katika mfumo wa document (.docx, .pptx, .epub). Zipo njia baadhi zinazokuwezesha kutuma na kupokea mafaili ya mfumo huo, moja ya njia ambayo nadhani inafaa zaidi ni kwa kutumia programu ya kando(third party app) inayoitwa WhatsApp File Sender. Kupitia WhatsApp File Sender unaweza kutuma mafaili kama hati za kiofisi(office documents) (.doc, .docx, pptx), pdf, .epub na kadhalika. Si hayo tu, kwa kifupi unaweza kutuma na kupokea kila aina ya faili kwa WhatsApp kupitia programu hii, hata programu kama .exe (executable), .zip na .apk au chochote kile unachotaka.
JINSI YA KUTUMA FILES
STEPS.
1.Nenda kweny playstore na udownload  Whatsapp File Sender
2. Fungua WhatsApp File Sender, kisha angalia sehem wameandika SELECT FILE au chagua mafile utakayayaona chini ya hio neon SELECT FILE.
3. Tafuta faili unalotaka kutuma, kisha SEND
4. itakupeleka kwenye whatsapp account yako
5. Chagua unaemtumia kisha bonyeza "OK".
NAMNA YA KUPOKEA FAILI
STEPS
1. Download faili kwa WhatsApp yako ya kawaida
2. Baada tu ya kudownload, WhatsApp File Sender itafunguka yenyewe na kuomba ruhusa yako ili kufungua faili hilo (decode).
3. Elekeza sehemu unayotaka kuhifadhi hilo faili, unaweza tengeneza folder lake maalum kwa ajli tu ya kupokea mafaili kwa njia hii.
4. Kisha bonyeza Ok.

NOTE
Ili kufanikisha swala hili ni Lazima wote (mtumaji & mpokeaji ) wawe na WHATSAPP FILE SENDER (WTS)
WhatsApp File Sender hubadili mafaili (encoding) kwenda kwenye mfumo wa sauti (audio), na wakati wa kupokea hurudisha katika mfumo wake
wa kawaida (decoding).
Kwa Kawaida WhatsApp hutuma faili lisilozidi ukubwa wa MB 16, lakini kwa njia hii unaweza
kutuma faili lenye ukubwa wowote zaidi ya MB16.
Unaweza tuma vitu vingi kwa mara moja, tengeneza folder la ".zip" weka mafaili yote ndani yake, kisha tuma.
WhatsApp File Sender hugawa mafaili makubwa katika ukubwa wa MB 16 kila moja, hii
huwezesha kutuma mafaili makubwa zaidi.
Mpokeaji ni lazima ahakikishe vipande vyote vimefanikiwa kuwa downloaded kabla ya
decoding.
Hii ni Njia nzuri kwa makundi ya WhatsApp kutumiana mafaili ya kiofisi kama notes na mengineyo kwa urahisi zaidi.


obby mjuzi & blessed genius

Recent Post