Hii ni track mya ya msanii D criminal akiwa na jamaa anaitwa Jimmy. track imefanyikia maaasai music chini ya producer simba mkali (mwanza). kiukweli simba kafanya bonge la beat na bonge la production. D Criminal kafanya bonge la flow pia uandishi ni mkali sana. Jimmy kafanya bonge moja la chorous, ngoma imebeba ujumbe mkubwa mkubwa sana. NGOMEKA NAYO HAPAAA