Habari!Kwa wale mashabiki Wa michanolukuki waliokosa interview ya Chella aliyofanyiwa na Edwin bashir(Tiger mnyama)wanaweza Kungomeka nayo hapa ili kujua zaidi mipango ya kundi hilo inayofuata.Kundi linaloundwa na mtoza mc na chella toka kibena Njombe Tanzania. |