Latest News

Thursday, December 31, 2015

WARAKA KWA WASANII WACHANGA (UNDERGROUNDS)

Ndugu zangu salaam. Ni matumaini yangu kwamba harakati za music zinaenda vizuri na bado tunapigana kuweza kufika mbali kimuziki na hatimae siku moja tujulikane.
Natumia muda huu kuandika walaka huu, nikiwa katika hali ya kushangazwa au kushtushwa na tamko la serikali la kutaka wasanii waanze kulipwa kuanzia tarehe 1/1/2016.
Huu ni waraka maalumu kwa wasanii wachanga wote, ukiupata usiache kumtumia na mwingine ili siku moja wewe na mimi tufike tunapotaka kufika.
SERIKALI kupitia waziri wa utamaduni na michezo imetangaza kuwa kuanzia tarehe moja mwezi wa kwanza mwaka ujao yaani 2016 wasanii watatakiwa kulipwa kwa kila video au audio itakayochezwa kwenye redio au TV stations mbalimbali.
Akiendelea amesema msanii, mtunzi, au producer atapata 60% ya mapato hayo (bongo5 2015).
Hili swala sio baya kwasababu kila msanii awe ndogo au mkubwa anapenda siku moja anufaike kutokana na mziki wake. Swali la kujiuliza je hili swala lina manufaa kwa wasanii wote? (Wakubwa kwa wadogo?) Je serikali imeangalia athari zinazoweza kutokea kwa kuanzisha huu mfumo na wamejiridhisha kwamba faida ni kubwa kuliko hasara?
USHAURI WANGU KWA WASANII.
Kumbuka kuwa media zinafanya biashara na mtu yeyote anaefanya biashara anategemea faida. Kitakachofanyika ni redio na tv zitafanya adjastment ya bajeti zao na kuwalipa wasanii ambao wanajulikana na ambao kupitia wao basi media zitapata faida. Msanii mchanga hautafikiriwa kwenye hili.
Jaribu kujiuliza, zamani ilikuwa bure na hukupewa airtime je sasa wamesema wakulipe utapewa airtime?
zamani tulikuwa tukitumia njia 3 ambazo kupitia hizi, ilimsaidia msanii kujulikana nazo ni
1. media kama redio & TV.
2. Blogs & websites
3. Mtaa kwa mtaa
Kilichofanyika sasa ni kupunguza njia moja ya media, kwa maana nyingine tumebakiwa na njia mbili tu za kutufanya tufikie ndoto zetu.
NAWASHAURI
1. mtumie nguvu nyingi kusambaza nyimbo zenu kupitia BLOGS & WEBSITES ili mtaa uelewe. Mtaa ukielewa utawafanya media wakutafute maana ikumbukwe kuwa media zipo kwaajili ya watu na watu wanachotaka kuona au kusikia ndicho media zinatafuta.
2. Hakikisha kabla hujaachia wimbo wako uwe na bajeti nzuri au connection na blogs & website nyingi ili tu wimbo utakapoachiwa usambazwe kila kona hatimae ufikie point ya media kukulipa. (Maana kulipwa kwasasa sio kazi rahisi)
USHAURI KWA SERIKALI.
1. Hili swala linahitaji muda ili liwe sawa kabisa!
Sina maana ya kwamba mmekurupuka kwenye hili hapana.
Ila ninachokiona ni kwamba mngetumia muda kukusanya maoni kutoka kwa wadau wa mziki mikoa yote ili mpate picha halisi ya hili swala.
2. jaribuni kuangalia wasanii wachanga hili swala litawaumiza kiasi gani kuliko kuangalia upande mmoja kama mlovyofanya.
Mkumbuke kuwa msanii ili awe mkubwa lazima awe mchanga kwanza. Sasa mkiwapoteza hawa wasanii wachanga mnadhani kwesho ya mziki wa Tanzania ni ipi?
3.Ikumbukwe kwamba mziki umeajiri asilimia kubwa ya vijana (wasanii, watunzi, producers, djs, dancers, directors, bloggers na designers) na wengi wao wanaendesha maisha yao kupitia mziki tu, leo mkianzisha mfumo ambao utaua industry hii mnategemea hawa watu wataishi vipi?
Agalieni msijikute mnaongeza tatzo la ajira badala ya kupunguza.
--MWISHO--
imeandaliwa na
©obby mc (2015)

Monday, December 28, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA MAKOMANDO-JIBEBISHE



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA BANANA ZORO-KASEME TENA



Friday, December 25, 2015

NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA WAKAZI-NATOKEA DAR

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA IZO BUSINESS ft NAVIO &MWASITI-WALALA HOI RMX



SIKILIZA INTERVIEW YA THE WIND MUSIC KATIKA KIPINDI CHA MSANII UJUZINI


NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA THE WIND MUSIC-SEE YOU

THE WIND MUSIC  ni kundi la music kutoka hapa hapa Tanzania, ni kundi linaloundwa na wasanii watano, wawil wa kike watatu wakiume, nao niFisher,Marrash,Travez,Amina na V Wonder, wanafanya mziki mzuri saana hawa jamaa. hii ni moja ya ngoma ya o inaitwa SEE YOU. NGOMEKA NAYO HAPA

Thursday, December 24, 2015

DOWNLOAD SIKILIZA INTERVIEW YA OBBY MC-SAUT FM- Sehem ya pili



DOWNLOAD SIKILIZA INTERVIEW YA OBBY MC-SAUT FM



NGOMEKA NA NGOMA ZOTE ZA OBBY HAPAA!!!




Wednesday, December 23, 2015

SIKILIZA MAONI YA WADAU WA MUZIKI|SWALA LA WASANII KULIPWA SEHEMU YA KWANZA

Karibu katika kipindi chetu maalumu. leo tunaanza na tutakuwa na muendelezo wa mjadala kuusu swala ambalo serikali imesema kuanzia january wasanii watakuwa wanalipwa kutokana na kazi zao kucheza kwenye redios na tvs stations mbalimbali.leo katika sehem ya kwanza tutaongea na wadau wa mziki, nao wataelezea hili swala kwa undani. DOWNLOAD NA WASIKILIZE HAPA.
Pia usikose kesho sehem ya pili itafata



.

Sunday, December 20, 2015

TAZAMA/DOWNLOAD VIDEO IKIKUELEZEA JINSI YA KU DEACTIVATE FACEBOOK ACCOUNT


NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA CHEGE ft RUNTOWN &UHURU-SWEETY SWEETY



NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA ALIKIBA &CHRISTIAN BELLA-NAGHARAMIA


NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA MB DOG-SIO SIRI



Saturday, December 19, 2015

NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA OMMY DIMPOZ-ACHIA BODY



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA OMMY DIMPOZ-ACHIA BODY



NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA BEST NASSO-RUMBA



OFA OFA OFA---KWA WASANII NA WAFANYA BIASHARA



Katika kipind hiki cha sikukuu za christmas na mwaka mpya obbymjuzi.blogspot.com inatoa ofa kwa wasanii na wafanya biashara.
MSANII: lipia pesa ya promo ya nyimbo MBILI tukupe promo ya nyimbo nyingne MBILI buuuuuuree!!!

MFANYABIASHARA

lipia tangazo MOJA tukupe tangazo lingine MOJA buuuuuuureee!!
PIA KAMA UNAHITAJI KUMILIKI BLOG yako tunatoa punguzo la 50% ya bei halisi. Njoo tukumilikishe blog.
PIA
tunatoa punguzo la 50%  ya bei halisi kwa wale wasanii wa hip hop mnaotaka kuandikiwa mistari mikali ya hatariii
.
WASILIANA NASI
Email: obbymjuzi@gmail.com
Namba:0689203088
OFA HII INAISHA MWEZI WA KWANZA MWISHON.
KARIBU UJUZINI
👆
WAPE TAARIFA

Friday, December 18, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA YAMOTO BAND ft ZENA MASTER-MAMA



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA CHEGE-NDANI YA FAMILIA



NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA IZZO BUSINESS ft MWANA FA & G NAKO-SHEM LAKE



Thursday, December 17, 2015

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA PNC- USINISURUBU

Hii ni track mpya kutoka kwa PNC ngomeka nayo hapa


NGOMEKA NA VIDEO MPYA YA MTU CHEE (stamina,young killer &country boy-MTU TATU



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA ALI CHOKI ft KASSIM MGANGA-CARLO



NGOMEKA NNA GOMA JIPYA LA TID ft COUNTRY BOY & BILL NASS-BANJO



Recent Post