Latest News

Monday, November 16, 2015

TAZAMA/DOWNLOAD VIDEO YA JINSI YA KUDOWNLOAD VIIDEO ZA YOUTUBE BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE -PART2





Wengi sana wamekuwa wakivutiwa na video wanazo ziangalia YouTube  na kutaka ku download ila wakashindwa kufanya hivyo. hii ni kutokana na kukosa njia ya kudownload, pia kwangu sioni sababu ya kutumua software kudownload video kwasababu software zinamadhar yake ambayo ntakuja kuyaelezea siku moja.
 zifuatazo ni steps zitakazo kiwezesha ku download  video yeyote kwenye YouTube :

STEPS.
1. ingia YouTube.com 
2. Chagua vdeo unayoitaka then iclick., wakat inajiandaa kuplay angalia juu utaona URL (yan http//www.youtube.comxasgjhmmrssn// huu ni mfano tu)
3. Nenda kweny hyo URL then edit kwa kuongeza ss au 9x mfano http//www.youtube.comxyzk isomeke
Http//www.9xyoutube.comxyzk
Au
Http//www.ssyoutube.comxyzk
then kama ni computer click ENTER kama cm reload.
4. Itafunguka page mpya amnayo utaona imekuletea format mbalimbali za hyo vdeo yan
Mp4, MPG, MP3 Na nyingne nying.
5. Chagua MP4 kwa kuclick kama unataka video then utaona inaanza kudownload.
NB
kama utatumia 9x hzo fomat zitakuwa chini.
Kama utatumia ss hzo vdeo fomats zitakuwa kulia.
Kama unatumia simu tumia google chrome au browers yoyote ile uctumie app ya youtube.

KWA MAONI MASWALI AU USHAURI TAFADHARI COMMENT HAPA au wasiliana nami kwa  email:obbymjuzi@gmail.com

MWISHO

Recent Post