KARIBU KATIKA DARSA HURU asante kwa kutembelea blog yangu.kwa mnaoendelea kutuma maswali mbalimbali. napokea maswali mengi sana na nayaandalia majibu ya uhakika ili yawe na faida kwako na kwa wengine.. kama unaswali lolote linalohusiana na computer au simu nitumie kwa Email yangu obbymjuzi@gmail.com nami ntakupatia majibu mazuri. usiasahau kulike page yetu ya facebook hapo juu kulia karibu na picha yangu.
Katika somola leo kama kichwa cha habari kinavyosema TUnajifunza jinsi ya kudouble internet speed ya computer yako kwa kutumia CMD. yana kama speed ya internet yako ni 20% itaongezeka na kuwa 40%. kama ni 100% itaongezeka na kuwa 200%. hii sio uongo. FATA STEPS HIZI RAHISI
KISWAHILI
1.
Nenda kwenye sehem ya ku search kwenye
computer yako na andika cmd
2.
chagua Run
as administrator
3.
Andika color
a
then ENTER
4.
Andika cd/
then ENTER
5.
Andika netsh
int tcp show global then ENTER
6.
Andika netsh
int tcp set global chimney=enabled then ENTER
7. Andika
netsh int tcp set global autotuninglevel=normal then
ENTER
8.
Andika netsh
int tcp set global congestion provider=ctcp then ENTER
9.
Andika netsh
int tcp show global then ENTER
10.
Restart computer yako
ENGLISH
1.
Go to the search then type cmd
2.
Choose Run as
administrator
3.
type color a then
ENTER
4.
type cd/ then
ENTER
5.
type netsh int tcp
show global then ENTER
6.
type netsh int tcp
set global chimney=enabled then ENTER
7.
type netsh int tcp
set global autotuninglevel=normal then ENTER
8.
type netsh int tcp
set global congestion provider=ctcp then
ENTER
9.
type netsh int tcp
show global then ENTER
10.
Restart your computer
ANGALIA HII VIDEO NIMEELEZEA KWA UNDANI ZAIDI/ JUST WATCH THIS VIDEO I HAVE MAKE DEEP EXPLANATION