Latest News

Sunday, November 22, 2015

JINSI YA KU CONVERT MICROSOFT WORD KUWA PDF BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE


KARIBU KATIKA DARASA HURU. Asante kwa kutembelea BLOG YANGU.
Katika somo la leo tutajifunza jinsi ya kubadili (convert) Microsoft word kuwa PDF BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOYTE. Nimeamua kutoa somo hili kutokana na maswali ya wanadarasa huru ambayo wamenitumia kwenye email yangu. pia hata kma wewe unamaswali Tafadhari wasiloiana nami kwa email: obbymjuzi@gmail.com.

STEPS
1.Fungua Microsoft Word yako then andika kazi yako
2. nenda kwenye microsoft button ipo juu kushoto,
3. Chagua SAVE AS, then chagua PDF kwa kuclick
4. Itakuomba uandike jiina la hiyo kazi, utaandika jina lolote then utaclick sehem imeandikwa PUBLISH.
5. Hapo utakuwa umemaliza na utaikuta PDF yako katika sehem ambako utakuwa umeiallocate.

NOTE::
Kama utataenda kwenye SAVE AS na hujaiona hiyo PDF basi usijali fata link hii
https://www.microsoft.com/en-us/download/confirmation.aspx?id=9943
DOWNLOAD ADD ON then INSTALL. baada ya kuinstall  rudi kweny MICROSOFT WORD then chaguaSAVE AS  kama mwanzo. HAPO UTAWEZA KUIONA HIYO PDF.

KWA MAONI USHAURI NA VINGINE WASILIANA NAMI
EMAIL:obbymjuzi@gmail.com

TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI IMEELEZEA KWA UNDANI ZAIDI

Recent Post