Latest News

Saturday, December 31, 2016

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA CMADA--SADAKA YA SHUKRANI

Hii ni ngoma mpya ya mwanakwetu CMADA, ngoma imefanyikia MAASAI music chini ya  producer SIMBA MKALI,(pia ndie aliefanya chorous ya hiyo ngoma) ngoma inaelezea historia ya kweli ya mwanakwetu CMADA, jamaa alipata ajari ya gari na kuvunjika mguu ambao ulimfanya ashindwe kutembea hivyo akawa mtu wa kulala, wimbo huu unaelezea historia ya kweli ya hali aliyokumbana nayo baada ya ajari. fanya kuisikiliza hapa.



Friday, December 30, 2016

NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA BLACKFIRE--GETTO



NGOMEKA NA GOMA JIPYA LA KALAKANA X AINEA--NANI ANIPENDAE

huu ni mzigo mpya wa KALAKANA MC akiwa na Ainea mzigo unaitwa NANI ANIPENDAE, mzgo umefanyika BAUCHA RECORDS chini ya producer BANNY MUSIC. fanya kungomeka nao hapa

Recent Post