KARIBU KTK DARASA HURU. Leo tunajifunza jinsi ya ku HIDE FOLDERS BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE.
KWA MASOMO MENGI KWA NJIA YA VIDEO TEMBELEA BLOG YANGU obbymjuzi.blogspot.com PIA YOUTUBE CHANNEL YANGU andika OBBY MJUZI
KARIBU katika DARASA HURU. leo tunajifunza jinsi ya kujua watu waliotembela profile yako ya facebook kuangalia vitu ulivyovipost..
KWA MASOMO MBALIMBALI KWA NJIA YA VIDEO tembelea YOUTUBE CHANEL YANGU INAYOITWA OBBY MJUZI
ENJOY
POP D ni msanii wa bongo fleva kutoka sumbawanga Tanzania, hili ni bonge moja la ngoma kutoka kwakwe, goma linaitwa umeniumiza, producer asehusika anaitwa Andrew, fanya kungomeka nalo hapaaa
Hii ni ngoma kali sana kutoka kwa jamaa anaitwa G-SENIOR inaitwa MR REAL LOVE jamaa kafanya poa sanaaaaa. fanya kungomeka nayo hapa halafu isambaze kadiri uwezavyo. saport mziki mzuri siiku zooteeeeee!!!!
Kama unahitaji kumiliki blog yako kama hii, tunaweza kukutengenezea kwa bei ndogo sana. na tutakupa maelekezo jinsi ya kutumia, HAUHITAJI KUWA UMESOMA MAMBO YA COMPUTER KUMILIKI BLOG AU KUIENDESHA. wasiliana nasi kwa namba +255753217400 au email obbymjuzi@gmail.com