Hii ni ngoma mpya ya mwanakwetu CMADA, ngoma imefanyikia MAASAI music chini ya producer SIMBA MKALI,(pia ndie aliefanya chorous ya hiyo ngoma) ngoma inaelezea historia ya kweli ya mwanakwetu CMADA, jamaa alipata ajari ya gari na kuvunjika mguu ambao ulimfanya ashindwe kutembea hivyo akawa mtu wa kulala, wimbo huu unaelezea historia ya kweli ya hali aliyokumbana nayo baada ya ajari. fanya kuisikiliza hapa.